Tuesday, 28 April 2015

DULLY AREJEA NA SHUKA


   MKALI wa muziki na muanzilishi wa muziki nchini Tanzania ,Dully syksy amerejea kivingine mwaka huu baada ya kuachia ngoma kali inayo kwenda kwa jina la NASHUKA ngoma hii imekuwa gumzo baada ya kuachiwa masaa machache kutokana na ukali wa ngoma yenyewe,

  Mkali huyo ambae amefanikiwa kuwatoa wakali kibao ambao kwa sasa wamekuwa wakifanya poa ndani na nje ya tanzani ,miongoni mwa wakali ambao wametoka kwenye mkono wake ni pamoja na alikiba ,chid benzi na wengine wengi,
 Hatahivyo mkali huyo alipo ulizwa na CHENGULA NEWZ,juu ya tuhuma za yeye na diamond plutnumz juu ya diamond kuto kuhudhuria kwenye msiba wa baba yake ,Dully alieleza kuwa hana biffu na mtu yeyote na anamchukulia diamond kama mdogo wake


No comments:

Post a Comment