MWANAMKE mmoja ajulikanae kwa jina la flora mkazi wa temeke jijini Dar es salam ,amekutwa na ugonnjwa ambao haujajulikana kwa hat\ralka mpaka sasa mwanamke huyo ambae alizungumza na CHENGULA NEWZ akiwa hospitali na kusema kuwa mpaka sasa ugonjwa huo umemchukuwa muda wa wikimbili mpaka hivi sasa kwakuwa maziwa yake yamekuwa ya kiongezeka siku baada ya ya siku
CHENGULA NEWZ ilizungumza na wakazi waeneo hilo la yombo dovya ambapo dada huyo anakaa na kuzungumza kwa namna tofauti tofauti kwa kuwa wengine wamekuwa wakisema nimiongoni mwa wanawake walio kuwa wakipenda jkuongeza maziwa na kundi lingine likizungumza niugonjwa wa kawaida kama ilivyo kwa watuwengine ambao wamekuwa wakiuguwa
No comments:
Post a Comment