Ubuyu Mpya unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya
kijamii kwa sasa, ni kuhusu ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa
kufungwa ivi karibuni. Chanzo cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu
zimeshachukuliwa, kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua
jiko lake bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa
staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.
Mpaka
sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu
litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo.
No comments:
Post a Comment