Monday, 4 May 2015

LINAH AMBEBA BARAKA THE PRINCE

linah picha
Rasmi kwenye masikio yao hii singo ulianza kuisikika January 2015 ambayo kwa sasa ni miongoni mwa singo ambazo ziko kwenye chart ya juu kwenye radio mbalimbali.
Time hii kaamua kumshirikisha mkali mwingine.. Linah kutoka No Fake Zone, hii ni rmx ya Siachani Nawe.

Linah ameamua kujiweka katika rmx ya siachani kutokana na umahiri wa ngoma hiyo ambayo imekuwa ikimfanya baraka kuwa juu na kujulikana zaidi na wanamuzic ambao wamekuwa  wakifatilia mziki mzuri ambzo upo kwaajili ya kuipeleka tanzania katika level za kimataifa

   

No comments:

Post a Comment