SIMBA SC YA TOA KAULI MICHUANO YA KAGAME HII LEO
WEKUNDU wa msimbazi simba wameibuka na kusema kuwa kwa sasa hawa fikiriii kujiunga na michuano ya kagame kwa kuwa mpaka sasa hawajapata barua kutoka kwashirikisho la soka la afrika mashariki na kati juu ya kuwepo kwenye mashindano hayo makubwa kwa ukanda huu wa africa mashariki na kati,
Mpaka sasa uongozi wa wekundu wa msimbazi simba umetoa taarifa ya kuweka kambi mwezi wa saba 7 kupitia kwa msemaji wa timu hiyo Haji Manara
ambapo aliibuka na kusema kuwa kwasasa wana tarajia kumtangaza kocha wao mapema mwezi huu huku tukio hilo likiwa ni pamoja na kuwatambulisha wachezaji ambao wamesajiliwa msimu huu,
Akizungumza na CHENGULA NEWZ mwenyekiti wa kamati ya usajili kutoka klabu ya wekundu hao wa msimbazi Zackaria Hanspop ,amesema kuwa kuhusu michuano ya kagame bado kuna sinto fahamu juu ya ushiriki wake kwakuwa mpaka sasa bado hawaelewi ni nini kinancho endelea juu ya mashindano hayo makubwa africa mashariki na kati
No comments:
Post a Comment