
Hitmaker wa
‘Binti Kiziwi’ Z Anto amekuwa
akipost picha yupo location.. mwenyewe amefunguka na kusema kuna kazi
amefanya na mastaa wengi wa filamu na itaingia sokoni wakati
wowote..amesema hiyo ni filamu yake ya kwanza kuanza kuonekana…mpaka
sasa amefanya tatu lakini mbili bado hazijatoka.
Ray C aliwahi kusema anatarajia kufanya kazi na
msanii mwenzake Recho…mwenyewe Recho leo kafunguka na kusema tayari kazi
yao imekamilika katika studio ya THT na wanasubiriwa kwenda
kuikamilisha..pia wawili hao wanatarajia kufanya nyimbo zaidi ya nne
wakiwa pamoja.

Recho na Ray C
Jokate amesema sababu ya kuchelewa kwa video ya ‘
LeoLeo’ ni wamekuwa wakipishana ratiba na
Ice Prince ambaye ndiye aliyemshirikisha kwenye nyimbi hiyo..lakini soon itakua tayari , wamepanga kushoot
Tanzania, Nigeria, Afrika Kusini au Zanzibar na sasa wanaangalia ni wapi patawavutia zaidi kati ya nchi hizo walizochagua.

Jokate Mwegelo
No comments:
Post a Comment