Thursday, 16 July 2015

YANGA SC YATOA TAMKO KUELEKEA KAGAME,SOMA HAPA

HATIMAE  mabigwa  wa ligi kuu ya vodacom tanzania,timu ya wananchi,Yanga  sports club,imeibuka na kuwataka wapenzi na mashabiki wa wa mpira wa miguu nchini kujitokeza kwa wingi kwenye michuano ya kagame ambayo inatarajiwa kutimua vumbi mapema weekend hii katika uwanja wa taifa jijini daresalaam,

 Yanga wameya sema hayo baada ya watu au wapenzi wasoka nchini hususani watani wao wa jadi Simba sports club,kutokuwa kwenye mashindano hayo ambayo nimakubwa kwa upande wa Africa ya mashariki

"ninacho weza kusema watuwaje uwanjani kuishangilia Tanzania kwani michuano hii sio michuano ya ndani itakuwa sio vyema kombe hili litoke kwenda nje ya nchi wakati linachezewa nyumbani,"alisema Jerry muro.

 Pia akifafanua vizuri amesema kuwa  wawakilishi pekee wa tanzania  bara kwenye michuano hii ni Azam fc pamoja na YANGA kimataifa,hivo shime watanzania tujitokeze kwa wingi ili kuzishangilia timu zetu tuweze kukibakisha kikombe hichi chenye umaarufu mkubwa upande wa africa mashariki

No comments:

Post a Comment