Akon
alikuwa kwenye headlines wiki chache zilizopita.. Yes, alikuwa mgeni
mkubwa Afrika Mashariki, kwenye list ya Majaji watatu fainali ya Trace Music Star yeye alikuwepo pia.
Kingine kuhusu yeye ni hiki.. kanunua
basi ambalo lina bullet-proof, thamani ya gari ni dola 350,000/=.. hii
gari jamaa aliinunua mwaka 2014 ila akaomba ifanyiwe ufundi zaidi wa
kuwekwa bullet-proof.. kilichoandikwa mitandaoni ikiwemo TMZ ni kwamba hii ni zawadi kwa Rais mmoja wa Afrika ambaye bado hajamtaja.
Majina ya Marais wawili yametwajwa.. Wapo wanaosema kuwa hii ni zawadi kwa Rais wa Nchi yake Senegal, Macky Sall.. wengine wanahisi ni ya Rais Uhuru Kenyatta.Gari hilo lina siti nane ndani, kingine nilichokiona ni TV kubwa zaidi ya nne !!
No comments:
Post a Comment