Thursday 13 August 2015

BALOTELI ATOA MPYA SIKU YAKE YA KUZALIWA


BALO
Umaarufu wa mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli umesababishwa na vituko vyake pamoja na uwezo wake wa kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa.
Jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 25 na alitumia nafasi hiyo kuwaalika wachezaji wenzake kama sehemu ya kutimiza furaha yake.
BALO2
Balotelli aliamua kutengeneza keki yenye jezi namba 9 ambayo huivaa anapokuwa na kikosi cha timu ya taifa ya Italia na si ile anayovaa akiwa ndani ya klabu yake ya Liverpool.



BALO3balotelii amua kuonyesha kuwa yeye nimtukutu kweli baada ya kuonyesha vituko kutoka kwa marafikia wake wa karibu

pia palikuwa na sapruse nyingi kutoka kwa marafiki wa karibu jambo ambalo lilimfanya mtukutu huyo kutoka ittali kufurai katika siku yake kuu hiyo ya kuazimisha siku yake nya kuzaliwa

pia palikuwa na wakali kibao ambao wafanya vizuri katika medani ya soka

No comments:

Post a Comment