Thursday, 28 May 2015

SAMATA ATOA ONYO KWA WACHEZAJI WA TANZANIA???.

1"Habari mashabiki wangu natamani kuweka kila kitu nilicho nacho ila huwa naogopa sana kwani  nahisi nikiyaandika apa naweza kuharibu pia, bora nikae kimya lkn nadhan picha yenyewe itatoa somo especially kwa wachezaji uzao wa sasa ktk soka la tanzania.
NB.nshaacha toka 2012 kupiga picha kwny magar ya watu.”
Hiyo ilikua ni post ya Mbwana Samata alivyo post picha akiwa mbele ya Range Rover yenye namba ya Tanzania ndani ya Congo. Sasa hizi ni taarifa ambazo hauzijui kuhusu Mbwana Samata.
Kwanza kabisa ana magari saba likiwemo Range Rover ambalo hilo hapo chini ambapo sources zangu zimeniambia kwamba amenunua kwa Tsh milioni 80. Pia Mbwana ana nyumba tano hapa Tanzania. Huu ni mfano wa kuigwa kabisa na hivi vitu viwe mfano kwa kila kijana mwenye malengo na maisha yake na sio wachezaji mpira tu. Hakuna cha kukuzuia kufika malengo yako.
1
2
3

No comments:

Post a Comment