UVUMILIVU JKT WAWATOA JASHO WATANZANIA
ASKARI wa JKTwakiwa katika harakati za mafunzo kwaajili ya kipindi cha mpito ambapo baada ya miezi 6 wanategemea kupata ajira kutoka serikalini
niwito kwa wanafunzi wanaotaka kujiunga na jeshi lazima uwena moyo wa uvumilivu ili kufanikiwa katika harakati za kujiunga na jeshi la tanzania,
hivyo JKT imewataka watanzania wanao taka kujiunga na jkt nilazima kuwa na moyo wa utayari na uhiyari
No comments:
Post a Comment