Thursday, 14 May 2015

KIUMBE KIPYA TANZANIA CHAGUNDULIWA

 
 Na  Paul    Chengula 

   KIUMBE kinacho lingana na uwezo wa kufikiri kama mwanadam pamoja na tabia za kibinadam kimegundulika huko na manga mpakani mwa tanzania na kenya huku kikiwa na maziwa  zaidi ya kumi kwenye mwili wake .

  Kiumbe hicho kimekuwa kikifanya mambo ya kibinadam kwauwezo wa hali ya juu bila kukose kutokan na utashiokilionao wa kufikiri na kutenda mambo ya kibionadam kama bina dam wa kawaida.
   Miongoni mwa mambo  kiliyo kuwa kiki yafanya kiumbe hicho ni pamoja na kutengeneza  sehem sahii ya kulala ikiwa ni npamoja na kuwaogesha watoto wake kama wanavyo fanya binadam wakawaida katika maisha ya kawaida
Pia wamesema kuwa  kiumbbe hicho kimekuwa kikiishi kwenye misitu mikubwa na kimekuwa hakiwaogopi wanadam wa kawaida

No comments:

Post a Comment