Tuesday, 5 May 2015
LULU AMWAGA HADHARANI
MKALI wa filamu nchini tanzania maarufu kama LULU ameibuka na kusema kuwa hajutiii kusumbuliwa na wanaume kutokana na uzuri alio nao mkali huyo alipozungumza na CHENGULA NEWZ amesema kuwa miongoni mwa vitu au tukio ambalo haliwezi kufutika kwenye kichwa chake ni tukio la alie kuwa mlezi wake katika tasnia ya filamu nchini marehem KANUMBA
PIA aliongeza kuwa anashangaa watuwazima ambao wameioa kumsakama kwa kumtaka kimapenzi LULU amesema kuwa hakuna kitu asicho kipenda kama watu kumkumbusha kuhusu tukio lililo mfanya alale jela
PIA alisema kuwa uzuri alio jaliwa unampa tabu juu ya wanaume wanao mfatilia kwa leno la kuwa nae kimahusiano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment