Saturday, 9 May 2015
LULU ATOA MPYA KUHUSU KANUMBA
Na Paul Chengula
MKALI wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael,maarufu kama lulu,Ameibuka na kusemakuwa bado hanaamani moyoni mwake kutokana na alie kuwa mtuwake Kanumba kufariki,
Lulu amesema kuwa miongoni mwa vitu vinavyo kuwa vikimchanganya nikupotea kwa ahadi na ndoto alizokuwa akipanga na kanumba kwani nimengisana walipanga lakini sasa yote yamekufa,kanumba ndie msanii ambae amefanikiwa kuipeleka sanaa ya filamu kimataifa baada ya kufanya kazi na wasanii wa filamu kutojka nchini NIGERIA ambapo kwa sasa ndipo sanaa ya filamu na music ipo juu kwa africa ,
LULU ameieleza CHENGULA NEWZ kuwa kanumba ndie mtu alie mkuza na kumlea hivyo kanumba alikuwa na nafasi kubwa sana kwenye maisha yake kuliko mwanaume mwingine yeyote kwakuwa yeye ndio mtu wa pekee alie anza kumuweka kwenye nafasi ya kufahamika kupiti kazi yake ya sanaa ambayo ilikuwa ni ndoto yake sikumoja atafanikiwa na baada ya kukutana na KANUMBA mamboyake yalikwenda sawia
Pia kwasasa anasemakuwa imekuwa ningumu kwa yeye kujiingiza kwenye mahusiano mengine japokuwa amekuwa akisumbuliwa na wanaume wengi wakimtaka kuingia kwenye mapenzi lakini moyo wake bnado unaishi kwa KANUMBA
.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment