MKALI wa mapambano ya ulingoni box floid money my weather,amejichanganya na kuingia kwenye miereka huku akiwa na matumaini ya kufanya vizuri kama kwenye box,
Hatahivyo mkali huyo ambae amekuwa gumzo na kufikia kujilinganisha na wakongwe wa mchezo wa box duniani kama Tayson,naMohhamed Ally,Amesemakuwa miongoni mwa michezo anayo ipenda nipamoja na mieleka jambo ambalo limekuwa likichukuliwa tofauti na wanamichezo wengi wa mchezo huo ikiwemo kama Batista ,na jonh cena,
Mkali huyo alijitupa uwanjani na BIG SHOW,kilicho mkuta hatokisahau baada ya kukwepa sana alipo tiwa mbavuni na mkali wa puch Big shaw,alitamani kufa baada ya makonde ambayo alikuwa akipigwa sehem yeyote ile ya mwili wake jambo ambalo hata hakuamini kwa dakika kadha alikuwa hajielewi yani amezimia
No comments:
Post a Comment