Monday, 11 May 2015

MUME AUWA MKE HII LEO

Na Paul Chengula


MWANAMKE mmoja ajulikana kwa jina la Mery Daniely, Mkazi wa mbagala jijini  Dar es salaam,ameelezea jinsi alivyo kubwa na mkasa wa kipigo kutoka kwa mume wake ambae hujihusisha udereva wa mabasi makubwa, 

   Mwanamke huyo aliiambia CHENGULA NEWZ kuwa mume huyo amekuwa akimuhisi kuwa yeye ni muhuni kwa kuchepuka wakati akiwa  safarini jambo ambalo kwake yeye hajawahi kulifanya akiwa kama mwanandoa,

  Sikuchache mbele mume huyo alirudi nyumbani na kumkuta mkewe hayupo zaidi ya saa moja ndipo alipo hisi kuwa mkewe amekwenda kuchepuka,mume huyo aliondoka na kurejea jion na kumkuta mke wake akiwa ameketi akimsubiri ili wale chakula cha usiku pamoja ndipo mume huyo akaanza kuibua mada hiyo ,

  Katika hali isiyo tegemeka mume huyo  alichukuwa kitu chenye ncha kali na kuanza kumshambulia mke wake kwa makosa ya kuondoka nyumbani bila kuaga,

  Majirani wali chukuwa hatua ya kuvunja mlango na kuingia ndani kutokana na kusikia sauti kubwa ya kuomba msaada  baada ya kuingia ndani wakamkuta mama yule akiwa anavuja damu kila  mahala

No comments:

Post a Comment