
Hatahivo mkali huyo kutoka uganda amewataka wapenzi na mashabiki wa simba kujipanga kuchukuwa vikombe kuanzia kwenye mashindano ya kagame ,wamesema wapotayari kuingia kambini kujiandaa na michuano ya kagame inayo tarajiwa kuanza mapema mwezi ujao katika jiji la Dar es salaam,

Pia amewataka wapenzi na mashabiki wa soka tanzania waiamini timu yao kwani wao ni miongoni mwa watu ambao husababisha timu hiyo kufanya vizuri zaidi katika mashindano kutokana na sapoti wanayo itoa wakati wachezaji wakiwa uwanjani

No comments:
Post a Comment