Wednesday, 20 May 2015

USIO YAJUWA KUHUSU KANUMBA HAYA HAPA.

  STIVE KANUMBA,ndie msanii wa pekee nchini Tanzania aliefanikiwa kupeleka tasnia ya move kwenye ushindani wa kimasoko ambapo soko kubwa katika bara la africa lipo mikononi mwa nigeria,
  Mpaka kufikia umauti wake alikuwa amefanikiwa kuzifikisha kazi zake ikiwa ni pamoja na kufanya move na wanaigeria jambo ambalo limemfanya afike nusu ya malengo yake  ambapo kubwa kutoka kwake ni kulifikia malengo ya kuipeleka bongo move kwenye soko la dunia ambapo mpaka anafariki alikuwa ameanza japo hakufanikiwa kupenya nje ya Africa

  Hatahivyo mkali huyo alitamba na muvi kali zilizo tokea kutamba kuliko msanii yeyote tanzania kwasasa ndie msanii alie kuwa akiongoza kwenye soko la filam Tanzania

Pia mkali huyo mpaka anafariki alikuwa amefanikiwa kufungua kampuni yake ambayo ilikuwa ikiitwa THE GREAT KANUMBA ,ambayo ilikuwa ikihusika na kuzisimamia kazi zake lakini chaajabu wakati mafanikio yana anza kuja umauti uka mkuta mkali huyo
 KIfo chake kilikuwa nikifo cha kihistoria nchini tanzania kutokana na umaarufu ambao nalikuwa amejipatyia kutikana na uigizaji,
Marehem alifariki majira ya usiku huku ikisadikika alisukumwa na aliekuwa mchumba wake ambae  ni maaruifu kwajina la LULU ambapo watu wamekuwa wakizungumza kuwa msanii huyo alimsukuma na marehem kujigonga kwenye ukuta na kufariki hapo hapo,
   Hakika marehem atakumbukwa milele kama walivyo waasisi wengine.

No comments:

Post a Comment