MKALI wa mziki nchini Tanzania,Nasbu Abduli,maarufu kwa jina la DIAMOND ametokea kwenye vichwa vya magazeti nchi mbali mbali Africa ni baada ya kuingizwa tena kwenye mashindano ya MTV ambayo sikuzote hushindanisha wakali wa mziki afrika kwa upande wa africa mashariki ametoka peke yake kwenye mchakato huo,
Hatahivyo mkali huyo alipo zungumza na CHENGULA NEWZ amesema kuwa nifuraha kwa ke na mashabiki wake wote wanao fatili na kuupenda mziki wake kikubwa anasema ni moyo wa kujitolea katika kazi na kujali zaidi kile unachokifanya
''kwamara ya kweanza natumiwa email na kuambiwa nimeingizwa kwenye kipengele cha mwanamziki bora wa kiume africa nilijisikia amani sana kwani kulikuwa na vichwa vikali ambavyo mimi mwenyewe nilijuwa lazima viwepo ila sijaviona hivyo nilijihisi mzujka sana kwa upande huo",ALISEMA

Hatahivyo mkali huyo wa bongo fleiva nchini amewataka watanzania kumpigia kura katika vipengele vyote vitatu ambavyo ameingizwa ili aweze kuiwakilisha zaidi tanzania kwenye matunzo makubwa

No comments:
Post a Comment