

Pia msuva amewataka wapenzi na mashabiki wa soka nchini wasichoke kumpa sapoti anapo kuwa uwanjani kwani bila wao hawezi kufanya vizuri kwasas tupo kwenye majukum ya kulitumikia traifa baada ya hapo tunategemea kuingia kwenye mashindano ya vilabu biora afrika mashariki na kati hivyo mashabiki kwake ni nguvu yakumfana aendelee kufanya hizuri katika mashindano haya pamoja na msimu mpya wa ligi kuu ya vodacom.
Hatahivyo msuva hakuliacha nyuma swala la kocha bora ambapo mwaka huu tuzo hiyo imekwenda kwa kocha mzawa Mbwana Makata,watanzania wengi wamekuwa wakilipinga hili lakini ni ukweli usio fichika kuwa Makata amefanya kazi kubwa sana katika mechi 8 alizo cheza ameshinda mechi 4 sare 3 na kupoteza 1,pia ameweza ku

isaidia timu isishuke daraja hivyo kwa upande wangu bado makata anastaili kuchukuwa tuzo hiii kwa kazikubwa alio ifanya
No comments:
Post a Comment