Sunday 14 June 2015

JUX AUMBULIWA NA MKE WA MABESTE

MBSTUsiku wa KTMA ni usiku uliotupa majibu na kufanya tuwafahamu wakali kutoka Tanzania ambao kwa nafasi zao kwenye muziki walipigiwa kura na Wananchi na kupata TUZO zao.
Miongoni mwa watu waliopata tuzo ni pamoja na Jux,Jux alipata tuzo ya Wimbo bora wa Rnb baada ya ushindi huo Mke wa Mabeste alitoa ya moyoni kwa Jux.
Kwenye sentensi yake alianza kwa kuandika>>’@juma_jux @juma_juxtaposed to@juma_jux meeen I am so dissapointed wit yah! @mabeste_tanzania aliniacha ndani naumwa akaja studio kukesha na wewe three days kukuandikia SISIKII na Ukweli ni kwamba hukumpa mabeste 2million’
Hapa anaendelea ‘Alikuambia use me tuu kua umemlipa two million coz alitaka ajitangaze kibiashara akija MTU mwingine kutaka aandikiwe amlipe coz he needed money by that time as I was sick….
Upande mwingine ameandika ‘I was your no.1 fan ndio maana@mabeste_tanzania aliponiambia nijikaze aje studio nilukubali na apart from that I am @mabeste_tanzania Manager!
Kingine alichokiandika ‘Kwanza kabisa Leo ndo nimeona kua sisikii imeingia kwenye utunzi bora na Ukweli ni si wewe uliye andika hiyo ngoma na cover ya ngoma ilikua mabeste ndo mwandish lakini umeshindwa kumpa haki yake uwaambie kili hiyo ni haki ya mabeste
Mwisho akamalizia kwa kuandika ‘The bad thing ingine is SISIKII imechukua tuzo umewapa watu S/O umeshindwa kumpa mabeste??? Kama mmezoea mabeste mpole I am sorry Manager Niko serious na kazi na naendelea vizuri narudi mzigoni very soon!!! @juma_jux@juma_jux

No comments:

Post a Comment