Wednesday, 24 June 2015

MSUVA AMTAJA ANAEZUIA KUTIMKIA SOURTH AFRICA

MKALI  wa mabao ligi kuu ya vodacom,Saimon  Msuva,ameibuka na kusema kuwa  kwasasa yupo tayari kukaa mezani na club yake ya yanga ili ,kumaliza   matatizo ya kimkataba kati yake na timu inayo muitaji kutoka Africa ya kusini.

  Pia msuva  amesema ,kuwa majaribio aliyo yapata baada ya kufanyiwa yalikuwa nima zuri na yameleta matunda makubwa kwake kama alivyo kuwa akitegemea kwasasa yeye ndoto zake kubwa ni kucheza soka la kulipwa   hivyo kinachoendelea kwa  sasa ni miongoni mwa chakangamoto anazo pitia

 "Kikubwa kwangu ni kufikia malengo ambayo nimejiwekea  kwasasa mengine kwangu nikawaida pia naishukuru klub yangu ya yanga kwa kufanikiwa kuni weka kwenye ramani ya kimataifa ambapo kwasasa klub nyingi zinanihitaji kwasababu ya ushirikiano wangu na timu ya yanga"
 
 Hatahivyo aliongeza kuwa anawaomba wapenzi na mashabiki wa ngu waendelee kunipa sapoti ili  niweze kufika mbali kwani bila ya sapoti yao mimi siwezi kufika pale ninapo pataka 

No comments:

Post a Comment