Pia mkali huyo nyota raia wa uganda ameongelea uwepo wa washambuliaji wengine akiwemo Mussa Hasan mgosi,Paul Kiongera kutoka kenya pamoja na Mavugo kutoka Burundi,jambo ambalo yeye anaamini kuwa itakuwa sababu ya yeye kuongeza juhudi zaidi ili kuipatia timu yake mafanikio tofauti na msimu ulio pita ambapo walidhamiria kushika nafasi mbili 2 za juu laki wakajikuta wakifanyiwa uhuni na wapinzani wao yanga baada ya kukubali kichapo cgha mabao 2 kwa 1 dhidi ya AZAM jambo ambalo wanaamioni kuwa ulikuwa ni mchezo ambao ulikuwa umepangwa ila kwa msimu huu lazima simba iwe bigwa wa ligi kuuu ya vodacom Tanzania bara,
Hatahivyo okwi amesema kuwa ushirikiano wa wakali kwenye safu ya ushambuliaji akiwemo ,Pita Mwalianzi,Mavugo, Paul Kiongera, Mussa Mgosi, Eliasi Maguli, Imbahimu Hajibu, pamoja na yeye mwenyewe nikikosi ambacho kitaipeleka mbali simba kwani wote niwashindani na kila mtu anataka kufanya vizuri kwakuwa kari bia wachezaji wote wanataka kujiweka kwenye mazingira mazuri ili kuaminiwa na kocha wao mpya raiya wa ENGLAND
No comments:
Post a Comment