Thursday 11 June 2015

TAMBWE ATEMA CHECHE HII LEO



MKALI wa magoli ya kichwa Tanzania,Amis Tambwe,Ameibuka nakusema kuwa  miongoni mwa vitu vilivyo mfanya akose kuchukuwa mfungaji bora wa ligikuu ya vodacom ni kuhama club'
   Aidha mkali huyo wa magoli ya kichwa ameelezea  mfadhaiko na kuvunjika moyo pindi alipo achwa na wekundu wa msimbazi simba bila yeye kukusudia wala kutegemea jambo ambalo lilimpelekea kuto kuwa fiti katika msimu ulio isha
   Hatahivyo  Tabwe  akizungumza na CHENGULA NEWZ amesema kuwa kwa sasa yupo nyumbani burundi kwa ajili ya mapumziko lakini atarejea mapema wiki hii ili kujiwinda na michuano mikubwa ukanda wa  Africa mashariki na kati michuano ya inayo julikana kwa jina la Kagame ikizaminiwa na Raisi wa Rwanda Paul Kagame;
  "Mimi kama mshambuliaji kazi yangu ni kufunga magoli  na sikitu kingine ndio maana kila siku na jituma ili nifunge goli kwa kuwa   hiyo ndo kazi yangu na ni moja ya majukumu yangu

No comments:

Post a Comment