Thursday 11 June 2015

UGONJWA MPYA UNAO SABABISWA NA MAPENZI


 
SIKU chache zilizo pita pamegunguliwa na mtanzania ambae alikuwa akisyumbuliwa na ugonjwa huu ambao chanzo chake bado hakija thibitishwa na madaktari lakini pamekuwa na maneno mengi kutoka kwa wananchi juu ya ugonjwa huu ambao umekuwa tishioo miongoni mwa watanzania
 
 BAKARI JUMA nimiongoni mwa watanzania walio kumbana na ugonjwa huu ambao umekuwa tishio kubwa juu ya maisha ya watanzania kwa ujumla,Bakari ambae ni mkazi wa kijiji cha matadi kilichopo huko mkoani kilimanjaro amesema kuwa ugonjwa huu umekuwa ukimtesa zaidi ya mwezi mmoja mpaka sasa na bado hajapatiwa matibabu yeyote,
 
 Hatahivyo miongoni mwa wakazi wa kijiji hicho wamekuwa wakisema kuwa ugo njwa huo umekuwa ukienezwa kwa njia ya ngono umekuwa ukianza kwa kutoka kama vipele na badae kuwa na  tishio kwa kuota mwili ni kwa baadhi ya sehem ikiwemo mikononi  pamoja na sehem za siri.

No comments:

Post a Comment