Tuesday, 21 July 2015

MSUVA ATEMA CHECHE KUELEKEA MCHEZO WA LEO,

MKALI wa  mabao nchini tanzania,Saimon Msuva,ameibuka na kusema kuwa kwasasa kilatimu watakayo kutana nayo lazima afunge ili kuweka rekodi yake ya kuchukuwa mchezaji bora wa ligi pamoja na  mashindano ya kagame ambayo ni mashindano makubwa katika ukanda wa africa mashariki na kati,

 Msuva ameyasema hayo baada ya kusikia maneno mengi ya watu juu ya urejeo wake kwenye mashindano ya mpira  wa miguu,kwani katika msimu ulio pita amefanikiwa kufanya vizuri zaidi ya hapo,hivyo kikubwa nikumuamini na yeye hato waangusha,

michuano hiyo ya kagame inatarajiwa kutimua vumbi hii leo kwenye uwanja wa taifa ambapo yanga itajitupa uwanjani

nae mkuu wa kitengo cha mawasiliano,gery muro,amewataka watanzania kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wao ili kuwashuudia wakimataifa wakionyesha uwezo wao hii leo uwanjja wa taifa

No comments:

Post a Comment