Saturday, 15 August 2015

LOWASA ATOA RATIBA YA MIKUTANO UKAWA,HII HAPA....

Na  Paul  Chengula


  MGOMBEA  uraisi kwa tiketi ya ukawa mh Edward Lowasa, anatarajiwa kufanya mkutano na wananchi wa mwanza hii leo katika kiwanja cha ccm kirumba jijini mwanza,

Hatahivyo miongoni mwa viongozi wa chama hicho wamesema kuwa hiyo ni muendelezo wa mikutano ambapo Lowasa anatarajia kufanya mikutano mingine  2 katika jiji la arusha pamoja na zanziba,hivyo miongoni mwa vitu ambavyo vimekuwa kwenye mipango ya ukawa ni kampeni ya tokomeza umasikini.

   Hatahivyo mmoja kati ya viongozi wa chama hiocho Mh Tundulisu amewataka watanzania wajitokeze kwa wingi kwenye maeneo yote ambapo umoja wa ukawa utakuwa ukipita kuonana na wanachama na wapenzi wa umoja wa ukawa huo.

No comments:

Post a Comment