
.
Siasa zinaendelea kugusa hisia za watanzania wengi zaidi
habari kubwa kila siku, leo ninayo hii post nyingine ambapo ni majibu tosha ya kile kilicho zungumzwa kwenye uzinduzi wa kampeni wa umoja wakatiba nchini Tanzania.. hii inahusu mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt
John Pombe Magufuli ni baada ya kujibu maswali au kauli zilizo kuwa zikitolewa na upinzani

.MAGUFULI aliiambia CHENGULA NEWS kuwa miongoni mwa mambo ambayo yalikuwa yakizungumziwa juuu ya afya yake kwenye kampeni za ukawa nijambo ambalo halina ukweli kwani kwa sasa wanapaswa kuzungumzia ubora au udhaifu wa afya yake na mgombea wao wa ukawa,ila alishangazwa na miongoni mwa watu walikuwa wakilinganishwa na afya ya maraisi walio pita jambo ambalo yeye analichukulia kama ni uongo kupitia siasa,
Hatahivyo magufuli amewataka watanzania kuchagua mgombea sahihi ili kuleta hali ya uhuru na amani kwenye taifa la tanzania
No comments:
Post a Comment