MENGINE MAPYA NDANI YA UKAWA,LOWASA,LIPUMBA,DK SLAA,MBOWE
UKAWA yaingia kwenye mchakato mgumu ambapo aliekuwa mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF,Prf imbrahim Haruna Lipumba,mmoja kati ya watu wanao uunga umoja wa ukawa kuamua kujiweka pembeni kwa kuachia ngazi japo kuwa atakuwa akiendelea kutoa ushauri katika maendeleo ya kiuchumi.
Hatahivyo miongoni mwa wanachama wa umoja huo wamekuwa katika hali ya sinto fahamu ni baada ya wanachama kutoka ccm na kuingia katika umoja huo wa ukawa,jambo ambalo nilekuwa likitoa tafsiri nyingi miongoni mwa wanachama wa umoja huo wakatiba ya wananchi tanzania
Pia miongoni m,wa fununu zinazo endelea chini kwa chini yakuwa naye Dr slaa amekuwa hajaridhishwa na ujio wa wana ccm katika umoja huo ambao wao waliamini sasa muda wa madiliko umefika hivyo nilazima waweke uzalendo mbele tumeanza m,bali kuvijenga muda mrefu na sio vizuri kwa muda mfupi kuwa ingiza wapinzani kwenye nafasi kubwa hususani kushika nchi.
No comments:
Post a Comment