Tuesday, 11 August 2015

LOWASA ATOA YA MOYONI KUELEKEA UCHAGUZI MKUUU

Tumeshuhudia pichaz na video zilizonaswa  kwenye msafara wa Mgombea Urais UKAWA, Edward Lowassa na wenzake walivyotoka Makao Makuu ya CUF Buguruni mpaka Posta kwenye Ofisi za NEC kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Urais.
Dad NGOYAI
lowasa amewataka watanzania kumpa nafasi ili kwenda ikulu kuwa toa kwenye  umasikini kwakuwa hakuna kitu asicho kipenda kama umasikini na anashangazwa na raisi alieko madarakani kushidwa kuingoza nchi ili kuiletea manufaa zaidi.

kikubwa alichowaahidi watanzania hususani watu wa chini kama mamantilie,dereva bodaboda pamoja na machinga nimiongoni mwa watu ambao watakuwa marafiki zake ili kuwa kwamua watanzania kwenye umasikini.

''nawaomba watanzania tujitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura na mnipe nafasi ili niende kuibadilisha nchi na kuitoa kwenye umasikini ambao kwa sasa umekuwa wimbo mkubwa''

No comments:

Post a Comment