Saturday 1 August 2015

UKAWA WA TOA KAULI JUU YA MASWALI YANAYO ENDELEA KUZAGAA KWENYE MITANDAO

  UKAWA weameibuka na kusema kuwa wanashangazwa na taarifa zinazoendelea kuzagaa mitaani ya kuwa  wamejipalia makaaya moto ni baada ya kumkubali na kumruhusu muheshimiwa,Edward  Ngonyani Lowasa kuchukuwa fomu ya kugombea urahisi kupitia ukawa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mapema october 2015,

  Hatahivyo uongozi wa umoja huo umewataka wapenzi na wanachama wa umoja huo wasiwe na wasiwasi juu ya uamuzi uliochukuliwa na umoja huo kwakuwa wao wanajiamini na hawajakosea kufanya hivo kinacho endelea kwa sasa ni kutaka kuuvuruga  umoja huo na nijambo lisilo wezekana


  Pia mwanasheria wa chama cha CHADEMA,Tundu Liso,amesema kuwa hakuna kinacho shindikana kama viongozi wamekubalia kwa moyo mmoja pia anashangazwa na taarifa ambazo zinaendelea kusambazwa mitaani kuwa lowasa  ni fisadi na umoja wa ukawa wamejipalia makaa ya mawe jambo ambalo sila kweli kumuhukumu yeye moja kwa moja kwakuwa yeye alitumiwa kama njia ndiomaana akajiuzulu uwaziri mkuu baada ya kashfa hiyo

  PIA amesema kuwa hakuna kitu kizuri kama kiongozi kuamua kuchukuwa hatua ya kujiuzuli nijambo la muhimu sana kama kuonyeshwa na kuto furahishwa na kile kilichokuwa kikiendelea wakati yeye akiwa  katika madaraka,hivyo wanachama na wapenzi tuwe na imani na kile kinacho fanywa na viongozi wetu kwani wapo makini ili kuhakikisha mabadiliko
 

No comments:

Post a Comment