Thursday 20 August 2015

UKAWA WATOA KAULI BAADA YA KUZUIWA UWANJA WA TAIFA

 
UMOJA wa katiba ya wanachi nchini tanzania, umezuiwa kuutumia uwanja wa taifa jijini daresalaam sikutatu kabla ya  kuzinduliwa kwa kampeini ambapo rasimi kampeni nchini tanzania zinategemewa kuanza mapema weekend hii siku ya jumapili.

  Hatahivo umoja wa ukawa wamesema kuwa kwasasa wanaangalia nijinsigani watalitolea taarifa jambo hilo ambalo limekuwa ni haraka sana na limekuja kipindi ambacho ningumu kujuwa kama tutabadilisha au la kwa kuwa siku zimebaki tatu toka kauli hii itolewe.

  serikali imetoa tamko juu ya uwanja huo kutotumika na kuto kutoa sababu hasa ni nini za kuzui uwanja huo japokuwa pamekuwa na taarifa kuwa uwanja huo utakuwa bise na mechi kati ya azam na yanga siku ya jumamosi.

   Pia mpaka sasa haijajulikana nini sababu ya  umoja huo wa wananchi kunyimwa nafasi ya kuutumia uwanja huo

No comments:

Post a Comment