Hatahivyo pamekuwa na maneno kuhusu kutokushiriki kwenye kumtambulisha lowasa na wakati wa kuchukuwa formu,jambo ambalo limekuwa ni gumzo kubwa kwa wapenzi na wanachama wa umoja huo wamekuwa katika kipindi ambacho hawaelewi nini kinachoendelea kenye umoja huo hususani katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu mapema mwaka huu,
Pia hii leo pamekuwa na taarifa zinazo endelea kuzagaa kuwa Prf Imbahim haruna lipumba,kujiondoa aua kujiweka pembeni kimya kimya kama alivyo fanya Dr slaa,jambo ambalo limekuwa likitoa sintofaham kwa wapenzi na wanachama wa umoja huo,
chen
Hatahivyo kwaupande wake Mbowe amesema kuwa mabadiliko yanayo endelea kwenye umoja huo wa ukawa ni changamoto za kisias ambazo zinaendelea hivyo wapenzi na wanachama wa umoja wa ukawa wajitokeze kwa wingi siku ya kupiga kura ili kuufanya umoja huo wa ukawa kuendelea na harakati za kuichukuwa nchi.
No comments:
Post a Comment