Ni
good news ndani ya nchi nyingine staa wenu wa muziki anafanya poa…
kiukweli tumeusikiliza SANA muziki toka nje ya TZ sasa ni time yetu
kuteka headlines kwenye nchi zao pia.
Kwenye stori kubwa Kenya
iko pia hii ya list ya wanamuziki wanaoingiza pesa nyingi kwa sasa
Kenya, list ambayo imepata baraka ya MCSK na KECOBO ambao ni wasimamizi
wa hakimiliki nchini Kenya.
Hawa ni wanamuziki wa Kenya wanaoingiza pesa nyingi zaidi.1.Sauti Sol
2.Bahati
3.Lady Wanja
4.Willy Paul
5.Mum Cherop
6.H-Art the Band
7.Gloria Muliro
8.Rabbit ‘King Kaka’
9.John De Mathew
10.Hellena Ken
Hii ni list ya jumla ya wakali wanaoingiza pesa nyingi zaidi
1. Diamond (Tanzania)
2.Sauti Sol
3. Christina Shusho (Tanzania)
4. Alikiba (Tanzania)
- Bahati
-
Lady Wanja
8. Rose Mhando (Tanzania)
- Willy Paul
No comments:
Post a Comment