kikundi hicho kimezua tafaruki kubwa katika maeneo ya moroco jijini dar es salaam,ambapo palipelekea vurugu nyingi kwa wanachama wa ukawa pamoja na kikundi cha watua ambao walikuwa ni ukawa feki jambo ambalo lilikuwa likitoa sura mpya kuelekea katika uchaguzi.
Wkizungumza na CHENGULA NEWS kwa nyakati tofauti washukiwa hao wamesema kuwa hakuna kilicho kuwa na matatizo juu yao kwani lengo lao lilikuwa ni kuandamana mpaka ikulu ili kushinikiza slaa kujiunga na ukawa,baadhi ya walisema kuwa nikweli wametumwa ili kuhakikisha ukawa wanakosa sifa za kuwa na raisi anae kubalika katika nchi,
Mbatia amesema kuwa ccm wanatapatapa tu kwani swala la lowasa ni miongoni mwa mbinu za kuitoa ukawa kwenye ramani kwani mapema jana mwaikembe alionekana kwenye ukumbi ambao slaa alikuwa akiutumia kutoa taarifa zake juu ya ukawa pia mkutano wa ke uligarimu milioni 80 huku pesa hizo zikiwa hazija toka kwenye mfuko wa slaa
No comments:
Post a Comment