Friday, 22 May 2015

ANTI EZEKIELI: NAMUACHIA MUNGU

aunt

NA  Paul Chengula

Jana ilikuwa siku ya furaha kwa familia ya wasanii wawili Aunt Ezekiel na dansa wa Diamond aitwaye Mose Iyobo baada ya kujaliwa kupata mtoto wa kike.
Mtoto huyo amepewa jina la Cookie na Aunty alionyesha furaha yake kwa kuandikwa kwenye ukurasa wa mitandano ya kijamii ujumbe wa kumshukuru Mungu kwa kumfanikisha kujifungua salama
antiiiii

Ujumbe wake uliendelea
wajizaniao wao ni miungu watu Bac endelea kunyoosha mkono wako ktk paji la kiumbe wako ukiwa kama kinga nami niwe kivuli tuu juu yake Amen Whn Jesus Say Yes Ni body can Say wht!!!!!!!Wlcm Baby Cookie wlcm 2 da world KIBOKO YANG…
iyobo
Moseiyobo akiwa na Aunt Ezekiel
diamond

No comments:

Post a Comment