Friday, 22 May 2015

NKURUZINZA AGEUKIA KWENYE MPIRA

IMG-20150521-WA0068

Pierre Nkurunziza ambaye amepata umaarufu mkubwa kutokana na matitizo yaliyotokea kwao Burundi. Hizi picha zimesambaa hivi karibuni zikionyesha Nkurunzinza akisakata kabumbu. Mcheki jamaa akituliza kifuani na kupiga shuti kuelekea wavuni
IMG-20150521-WA0069
IMG-20150521-WA0070
IMG-20150521-WA0071

No comments:

Post a Comment