Saturday, 23 May 2015

DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU ZARI

Na Paul  Chengula

  MKALI  wa muziki wa bongo fleva ichini Tanzania,Nasib Abduli,Maarufu kama Diamond ameibuka na kusema kuwa kwasasa zimebaki sikuchache ili mpenzi wake Zari ambae ni raiya wa uganda kujifungua na hivyo pamekuwa pakizungumzwa maneno mengi kuusu ujio wa mtoto huyo ambae ni wa kwanza kwenye maisha yake baadasya kutembea na mastaa kadhaa hap[a ncghini na kugoma kuza na mkali huyo wa hiti song mbalimbali kama mbagala na kamwambie zilizo muweka kwenye ramani ya muziki.


   Pia amesema kuwa hataki watu kuzungumzia sana kuhusu maisha yake binafsi kwakuwa hataki kuiaribu familia yake hivyo nibora watu wakazungumzia maisha yake ya kimuziki na sio ya kifamilia kwani swala la kifamilia likiingia kwenye media sio siri itakuwa haileti maana kwani familia na kazi yake ni vitu viwili tofauti,

pia amewataka watanzania kuendelea kumsapoti kwa kila njia anazo zifznya ili kuufikisha mbali  mziki wa nyumbani kama walivyo fanikiwa wasanii wengine huku akimtaja mkali kama AY

No comments:

Post a Comment