Na Paul Chengula
TIMU ya taifa ya Taifa ya Tanzania ,Taifa Starz, hii leo inajitupa uwanjani huko Africa ya kusini kujiwinda na timu ta Taifa ya Lethoto katika michuano ya COSAFA ili kukamilisha ratiba ya michuano hiyo mapema hii leo saa 12:00 jion,
Kikosi cha timu ya taifa kimekuwa na maswali mengi kutojkana na aina ya uteuzi wa kikosi hicho ambacho kimekuwa kikiwatoa aibu watanzani katika michezo au mashindana kilicho shiriki
Mpaka sasa timu ya taifa ya tanzania toka ifike huko bondeni haijawai kutoka sare wa kushinda mechi hata moja japokuwa miongoni mwa timu au kundi iliyo pangwa nazo zote ni dhaifu kwakuwa katika viwango vya fifa starz imezipita
No comments:
Post a Comment