Na Paul Chengula
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya kimataifa mwakani Yanga sc,Wameibuka na kupinga vikali uvumi juu ya mshambuliaji wao tegemeo wa kulia,Saimon Msuva,kujiunga na maasimu wao simba sc yenye maskani yake huko kwenye mitaa ya msimbazi jijini Dar es salaam.

Msuva amekuwa na maelewano yasio mazuri na yanga baada ya uwongozi wa yanga kumpeleka katika kamati ya maadili ili achukuliwe adhabu juu ya swala lake la kutoroka kambini na kukimbilia huko Afrika kusini kufanya majaribio ya kwenda kucheza soka la kulipwa.
No comments:
Post a Comment