Thursday, 28 May 2015

JONH CENA AFUNGUKA JUU YA MSALA ULIOMKUTA

MKALI wa mchezo wa miereka  duniani,Jonh cena,amesema kuwa miongoni mwa vitu  ambavyo kwake yee vitabaki kama historia ni tukio lakuzushiwa kifo,

Ikumbukwe kuwa mkali huyu aliwai kuzushiwa kifo na jarida moja huko marekani baada ya kupata ajali aya gari lakini pia mkali huyo amewataka wapenzi wa mchezo wa miereka kumpa sapoti kwenye mchezo wake na Romain Reigns,akiamini kuwa kutakuwa na wakati mgumu kwenye mchezo huo kutokana na uimara wa mpinzani wake alio nao kwasasa ila lazima niibuke mshindi ili kuchukukua tajihili la WWE CHAMPIONSHIP

No comments:

Post a Comment