Na Paul Chengula
Wengi
wanaomfahamu mwigizaji Kajala wanajua kwamba staa huyu aliwahi kuwa
kwenye mikono ya sheria mpaka Jela na alilipiwa shilingi Milioni 13 kama
dhamana March 25 2013 ili aponee kwenda jela, pesa ambazo zilitolewa na
mwigizaji Wema Sepetu ambaye alikua rafiki yake mkubwa.
Kipya kwenye headlines ni kuhusu Kajala
kutakiwa kuzirudisha zile milioni 13 na hii ni baada ya kuonekana kwenye
White Party ya Diamond na Zari.
Ili kupata ukweli CHENGULA NEWZ Imeongea na Kajala anaelenza kwa kusema >>>> ‘Sio
kudaiwa kabisa sababu nilivyokwenda tu kwenye White Party ndio watu
wakaanza kuandika kwenye comments kwamba walinilipia milioni 13 alafu
nimeenda White Party, alienilipia hizi milioni 13 hajawahi kunidai
No comments:
Post a Comment