WEKUNDU wa msimbazi simba wameibuka na kusema kuwa kwasasa hawana mpango wa kucheza mechi yeyote ya kirafiki huko mkoani tanga ambapo wapo huko takriban wiki moja kwa sasa kwaajili ya maandalizi ya michuano ya ligi kuu tanzania bara
Msemaji wawekundu hao ,Haji Manara amesema kuwa kwa sasa kikubwa ni kufanya mazoezi magumu ili kujiweka sawa na hekaheka za ligikuu pia ameongeza kuwa hawa shitushwi na maneno ya watu juu ya mshambuliaji wao hatari kwa mabao ya mbali Emanuel okwii kutimkia katika mataifa ya ulaya ,kwao nijambo ambalo wanajivunia
Pia ameongeza kuwa pamekuwa na maneno juu ya wao kucheza mechi za kirafiki mkoani tanga jambo ambalo sio sawa kwani kwa sasa wachezaji wanajifua kwaa jili ya kuweka miili sawa ,endapo watakuwa sawa kwa kipindi walicho jipangia bas timu ita rudi daresalamm kwaajili ya mipango mingine ya kujiwinda na ligi kuu ya vodacom
No comments:
Post a Comment