Tuesday, 1 September 2015

UKAWA WAITESA CCM CHANZO HICHI HAPA

UKAWA wameibuka na kusema kuwa kwasasa ccm haina sehem ya kujificha kutokokata na wananchi kuwa tayari kwa mabadiliko na sikwa kampeni ambazo mwisho wa siku haziwasaidii chochote

 Hayo yamethibitishwa na wakazi wa mkoa wa iringa baada ya kuupinga au ku8zipinga sera za ccm na ahadi walizo kuwa wakizitoa kilam siku na kushidwa kuzitekeleza kwa kipindi kirefu
kutokana 
Hatahivyo miongoni mwa mikutano ya kampeni kutoka mkoani humo imekuwa ikiingiza watu wengi zaidi kuliko wale wanao ingia katika kampeni za ccm jambo ambalo limekuwa likizua taharuki Image result for kampeni ukawakwenye mitaa baada ya wwatu kuimba nyimbo za kutaka mabadiliko

Pamoja na hayom wataalamu wa siasa wamekuwa wakilizungumzia tukio hilo kuwa ni ujanja wa kisiasa wala haijalishi na kumaanisha kuwa watu wakikuzomea au kuto kukuungamkonio ndio kushidwa uchaguzi unabeba mambo mengi ikiwemo ni pamoja na siri aliyo nayo mtu wakati wa kutoa m,aamuzi juu ya nanin atampa kura yake kwaajili ya maendeleo
Aidhan ukawa wamewataka wanachi kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura na kuhakikisha wanamchaguwa mtu ambae ni sahihi kwa ajili ya kuingoza nchi ya tanzania pamoja na kudumisha amani tuliyo itafuta kwa muda mrefu na kuitunza mpaka leo.

No comments:

Post a Comment