Monday 26 October 2015

MATOKEO YA MAJIMBO MBALI MBALI HAYA HAPA MTU WANGU


Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 yameanza kutangazwa ambapo matokeo ya kwanza yametangazwa na Mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi Jaji Damian Lubuva saa nne na robo asubuhi ya October 26 2015, unaweza kuyasoma matokeo hapa chini pia ukasikiliza audio ambayo iko chini kabisa.

#CHENGULA NEWS UPDATES: Matokeo ya awali uchaguzi mkuu2015: PAJE-Kusini Unguja >> ACT 36, ADC 21, CCM 6035, CHADEMA 1899, CHAUMA 28, NRA 8,TLP 8

No comments:

Post a Comment