Wednesday 25 November 2015

MAGUFULI ATOA MPYA TANESKO

Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania,Dk John Pombe Magufuli,amewataka tanesko kuhakikisha upatikanaji wa umeme muda wote ifikapo  mwishoni mwa mwaka huu.
 
 Sikuchache baada ya Magufuli kutoa kauli hiyo Tanesco,wameunda team maalum kwenda kwenye bwawa la mtera na kidatu ili kuchunguza sababu zinazo pelekea kupunguwa kwa maji katika mabwawa hayo.

Hatahivyo magufuli alisikitisha na huduma inayo tolewa na shirika hilo huku akielezea mapato yanayo potea baada ya kukosa huduma ya umeme  hususani kwa Nchi kama Tanzania ambayo ina pambana ili kujitoa kwenye wimbi la umaskini,

 Pia wadau mbali mbali wamelizungumzia swala hilo kuwa nimiongoni mwa ishara nzuri zinazo kuwa zikionehwa na Magufuli kwani tanzania Umeme ni miongoni mwa sekta tegemezi hususani kwenye mapatao ya nchi

No comments:

Post a Comment