Thursday 17 September 2015

UKAWA WACHARUKA HII LEO MIKOANI

ZIKIWA zimebaki siku chache kuelekea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania UKAWA waia buka na kusema kuwa kwa sasa wanajiandaa na kupiga kura pamoja na kuzilinda na sio kuendelea kujibu kile kinachotolewa na upinzani wa vyama vingine.

Wakizungumza kwa muda tofauti mashabiki na wapenzi wa ukawa wameiambia CHENGULA NEWS kuwa uchaguzi wa mwaka huu umekuwa na changamoto kubwa kwakuwa kwa sasa pamekuwa na na upinzani wa kweli tofauti na miaka iliyo pita hivyo panaweza paka tokea mabadiliko ya kisiasa


Kwaupande wao wapenzi wa chama cha mapinduzi wamesema kuwa kwasasa wao wanasubiri siku chache zilizo baki nilazima chama cha mapinduzi kichukuwe dola kwakuwa wanakiongozi mchapakazi ambae anaweza kuwatetea watanzania

 

No comments:

Post a Comment